FamNET - Academic Results System

Karibu FamNET

Endesha shule yako Kidijitali ukiwa na FamNET kwa gharama nafuu sana. Hii ni kwa shule za Msingi na Sekondari.

Mfumo huu ni maalumu kwa ngazi ya shule baada ya kufanikiwa kwa Mfumo mwingine unaoendelea kutumika katika maeneo mbalimbali nchini, kuchakata mitihani ya Mock ngazi ya Mkoa, Halmashauri, Kata au muungano (Joint Examinations).

Mfumo umezingatia mahitaji yote ya kitaaluma na uchambuzi wa Matokeo.

  • ✅ Mwalimu wa somo ataingiza alama za wanafunzi wake kwenye mfumo bila kuona masomo yasiyomuhusu.
  • ✅ Mzazi anaweza kuona matokeo ya mwanae kupitia kupitia simu yake.
  • ✅ Mfumo unatoa ripoti za maendeleo ya wanafunzi kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza.
  • ✅ Mfumo unaiwezesha shule kuwasiliana na wazazi kwa kutuma ujumbe mfupi (SMS) kwenye simu zao.
  • ✅ Mfumo unaunganisha majaribio ya kila wezi na mitihani ya muhula na kutoa matokeo kwa kutumia wastani au Division.

Unayo fursa ya kujaribu (Demo) mfumo unavyofanya kazi Bure:

Jisajili hapa

Wasiliana nasi: 0764936387 / 0769748805

FamNET For Instant Academic Results

Ingia kwenye Akaunti