Mipangilio ya shule
Admin Settings: taarifa za shule, madarasa na mikondo, masomo, gredi, divisheni, pointi, hesabu ya matokeo, tathmini, ada, benki, ngazi za matumizi.
- 1General Settings: taarifa za shule, nembo na kichwa cha ripotiHariri jina la shule, namba ya usajili, anwani, simu, barua pepe, tovuti, kauli mbiu, na upakie nembo inayochapishwa kwenye ripoti.
- 2Mipangilio ya madarasa: aina ya shule, day/boarding, mikondo na majina ya madarasaEleza mfumo unafundisha ngazi zipi, wanafunzi ni wa kutwa au bweni, na mikondo (A, B, C…) ya kila darasa.
- 3Masomo: kusajili, kuyapangia madarasa, masomo-ndani na combinationsSajili kila somo mara moja, lipangie ngazi za madarasa yanayolisoma, na (ukipenda) ugawe somo kwenye masomo-ndani yenye asilimia.
- 4Mode of Assessment: asilimia ya CA na ya mtihaniAmua sehemu ya alama ya mwisho inayotokana na tathmini endelevu (majaribio ya kila mwezi/katikati ya muhula) na inayotokana na mtihani wa mwisho wa muhula.
- 5Gredi, Divisheni na PointiWeka mipaka ya alama ya kila gredi (A, B, C, D, F), sheria za divisheni (I–IV, 0) na pointi za kila gredi — kwa kila ngazi.
- 6Results Calculation: Average au Division, na masomo yanayohesabikaChagua nafasi zinavyopangwa (wastani wa alama au divisheni/pointi) na utiki masomo yanayoingia kwenye hesabu kwa kila ngazi ya darasa.
- 7Mipangilio ya tathmini: vigezo na gredi za maoniWeka walimu wa madarasa wanatathmini nini (mwenendo, nidhamu, kutunza muda…) na kipimo cha gredi/maoni wanachochagua.
- 8Idara na wakuu wa idaraPanga masomo kwenye idara (Sayansi, Lugha, Sanaa…) ukamtaje mkuu wa kila moja.
- 9Kupanga muundo wa ada (aina za malipo, viwango, awamu, vipaumbele, benki)Mipangilio mitano, inayofanywa mara moja kila mwaka wa masomo, inayowezesha kuingiza malipo, salio, SMS za madeni na malipo ya ada mtandaoni.
- 10Aina za mapato na matumiziSajili vyanzo vya mapato na aina za matumizi kabla mhasibu hajaanza kurekodi mapato na matumizi.
- 11Maelekezo ya ripoti (ujumbe unaochapishwa kwenye kila ripoti)Andika ujumbe wa muhula — tarehe ya kufungua, kumbusho la ada, mahitaji — mara moja kwa kila ngazi; unachapishwa chini ya kila ripoti ya mwanafunzi.
- 12Contribution Settings: nani analipa mchango wa mfumoChagua Parents (kila mmoja analipa TZS 3,500/mwaka anapoangalia matokeo) au School (shule inalipa ada ya mfumo kwa wote), ukafuatilie maendeleo.
Hukupata jibu? Andika WhatsApp kwa msaada wa FAMNET: 0722 279 412 (ujumbe tu), piga simu 0753 464 603 (simu tu), au barua pepe [email protected].