Tunaweza kukusaidiaje?
Kila kitu kuhusu FAMNET Schools: usajili, wanafunzi, walimu, matokeo, ada, ujumbe, ratiba, wazazi na mipangilio.
Chagua mada
Kuanza
FAMNET ni nini, kusajili shule, kuingia, aina za watumiaji, orodha ya mipangilio ya kuanzia na ada ya mfumo.
7 makalaMipangilio ya shule
Admin Settings: taarifa za shule, madarasa na mikondo, masomo, gredi, divisheni, pointi, hesabu ya matokeo, tathmini, ada, benki, ngazi za matumizi.
12 makalaWanafunzi
Kusajili wanafunzi (fomu au Excel), orodha, wasifu, kufukuza/kurejesha, wahitimu, picha.
3 makalaWalimu na wafanyakazi
Kusajili wafanyakazi, akaunti za walimu, nafasi, walimu wa madarasa na masomo, HR, mishahara, app ya walimu.
5 makalaUchakataji wa matokeo
Kupakia alama, ukamilifu wa alama, kuona, kuhesabu upya, kuchapisha, ripoti, matokeo ya pamoja, SMS za matokeo.
7 makalaTathmini na mahudhurio
Tathmini za mwalimu wa darasa, maelekezo ya ripoti, mahudhurio ya kila siku na kila mwezi, ripoti na SMS za mahudhurio.
2 makalaAda, malipo na uhasibu
Kuingiza malipo, risiti, ripoti za malipo, malipo yaliyoahirishwa, malipo ya ada mtandaoni, mapato, matumizi na taarifa za fedha.
6 makalaSMS na WhatsApp
Ujumbe wa kawaida, wa wazazi, wa matokeo na wa madeni; kununua SMS; ripoti za usambazaji; WhatsApp bure na namba yako mwenyewe.
3 makalaRatiba na ufundishaji
Vipindi, ratiba ya mkono na ya kiotomatiki, ratiba za walimu, ripoti za vipindi, kupakia silabasi na ufuatiliaji wa mada.
4 makalaE-learning na matukio
Vifaa vya kujifunzia, kazi za nyumbani, mitihani ya mtandaoni na usimamizi wa matukio.
2 makalaWazazi
Kuingia kama mzazi, kuona matokeo na malipo, kulipa ada kwa simu, mchango wa mfumo, habari.
4 makalaMatatizo na maswali
Nenosiri lililosahaulika, kushindwa kuingia, matokeo hayaonekani, makosa ya Excel, huduma iliyositishwa, kuwasiliana na msaada.
5 makalaZinazosomwa zaidi
- 01Wazazi: kulipa ada ya shule kutoka kwenye simu yako (Lipa Ada)Ona mchanganuo wa ada na salio, kisha ulipe kwa USSD push, kwa namba ya malipo kwenye mtandao au benki yoyote, au kwa ukurasa wa benki/kadi. Risiti inakuja kwa WhatsApp/SMS.
- 02Orodha ya mipangilio ya shule mpya (fanya kwa mpangilio huu)Mipangilio kumi inayotakiwa kuwepo kabla matokeo, ripoti na ada hazijafanya kazi — na njia ya menyu ya kila moja.
- 03Kupakia silabasi na ufuatiliaji wa madaPakia mada za kila somo/darasa kwa mpangilio; baada ya kila kipindi mwalimu anaulizwa kwa WhatsApp alichofundisha, na dashibodi inaonyesha coverage ya kila darasa.
- 04Kuwasiliana na msaada wa FAMNETWhatsApp 0722 279 412, simu 0753 464 603, barua pepe [email protected]. Cha kutaja ili tatizo litatuliwe kwa ujumbe wa kwanza.
- 05Kutengeneza ratiba: vipindi na kuingiza kwa mkonoKwanza weka mfumo wa vipindi (jina, siku, muda wa kuanza na kumaliza), kisha jaza masomo na walimu kwa kila darasa, au uachie mtengenezaji wa kiotomatiki.
- 06Nenosiri lililosahaulikaMsimamizi wa shule: tumia Forgot password kwenye ukurasa wa kuingia. Walimu: msimamizi analirudisha kuwa “default”. Wazazi: nenosiri ni jina la mwanafunzi.
- 07Ujumbe wa WhatsApp: mpango wa bure na namba yako mwenyeweMatokeo, risiti, madeni na matangazo yanawafikia wazazi kwa WhatsApp bure — hadi 500/siku kutoka namba ya FAMNET, au 2,000/siku kutoka namba yako kwa TZS 10,000/mwezi.
- 08Ada ya mfumo na mchango wa wazaziFAMNET inalipiwaje: ama shule inalipa ada ya mfumo ya muhula/mwaka, ama kila mzazi analipa mchango wa mwaka (TZS 3,500 kwa mwanafunzi) anapoangalia matokeo.
Hukupata jibu? Andika WhatsApp kwa msaada wa FAMNET: 0722 279 412 (ujumbe tu), piga simu 0753 464 603 (simu tu), au barua pepe [email protected].