Ruka hadi maudhui

Tunaweza kukusaidiaje?

Kila kitu kuhusu FAMNET Schools: usajili, wanafunzi, walimu, matokeo, ada, ujumbe, ratiba, wazazi na mipangilio.

Chagua mada

Kuanza

FAMNET ni nini, kusajili shule, kuingia, aina za watumiaji, orodha ya mipangilio ya kuanzia na ada ya mfumo.

7 makala

Mipangilio ya shule

Admin Settings: taarifa za shule, madarasa na mikondo, masomo, gredi, divisheni, pointi, hesabu ya matokeo, tathmini, ada, benki, ngazi za matumizi.

12 makala

Wanafunzi

Kusajili wanafunzi (fomu au Excel), orodha, wasifu, kufukuza/kurejesha, wahitimu, picha.

3 makala

Walimu na wafanyakazi

Kusajili wafanyakazi, akaunti za walimu, nafasi, walimu wa madarasa na masomo, HR, mishahara, app ya walimu.

5 makala

Uchakataji wa matokeo

Kupakia alama, ukamilifu wa alama, kuona, kuhesabu upya, kuchapisha, ripoti, matokeo ya pamoja, SMS za matokeo.

7 makala

Tathmini na mahudhurio

Tathmini za mwalimu wa darasa, maelekezo ya ripoti, mahudhurio ya kila siku na kila mwezi, ripoti na SMS za mahudhurio.

2 makala

Ada, malipo na uhasibu

Kuingiza malipo, risiti, ripoti za malipo, malipo yaliyoahirishwa, malipo ya ada mtandaoni, mapato, matumizi na taarifa za fedha.

6 makala

SMS na WhatsApp

Ujumbe wa kawaida, wa wazazi, wa matokeo na wa madeni; kununua SMS; ripoti za usambazaji; WhatsApp bure na namba yako mwenyewe.

3 makala

Ratiba na ufundishaji

Vipindi, ratiba ya mkono na ya kiotomatiki, ratiba za walimu, ripoti za vipindi, kupakia silabasi na ufuatiliaji wa mada.

4 makala

E-learning na matukio

Vifaa vya kujifunzia, kazi za nyumbani, mitihani ya mtandaoni na usimamizi wa matukio.

2 makala

Wazazi

Kuingia kama mzazi, kuona matokeo na malipo, kulipa ada kwa simu, mchango wa mfumo, habari.

4 makala

Matatizo na maswali

Nenosiri lililosahaulika, kushindwa kuingia, matokeo hayaonekani, makosa ya Excel, huduma iliyositishwa, kuwasiliana na msaada.

5 makala

Zinazosomwa zaidi

  1. 01Wazazi: kulipa ada ya shule kutoka kwenye simu yako (Lipa Ada)Ona mchanganuo wa ada na salio, kisha ulipe kwa USSD push, kwa namba ya malipo kwenye mtandao au benki yoyote, au kwa ukurasa wa benki/kadi. Risiti inakuja kwa WhatsApp/SMS.
  2. 02Matokeo ya A-Level: combinations, masomo makuu na ya ziadaMatokeo ya Kidato V/VI yanavyotofautiana: masomo yanatoka kwenye combination ya mwanafunzi, pointi zinatumia kipimo cha A-Level na divisheni inatumia masomo makuu matatu bora.
  3. 03Kusajili wanafunzi (mmoja mmoja au kwa Excel)Tumia fomu kwa wanafunzi wachache; pakia kiolezo cha Excel kwa darasa zima. Kila sehemu inamaanisha nini na namba za usajili zinavyotengenezwa.
  4. 04Kupakia silabasi na ufuatiliaji wa madaPakia mada za kila somo/darasa kwa mpangilio; baada ya kila kipindi mwalimu anaulizwa kwa WhatsApp alichofundisha, na dashibodi inaonyesha coverage ya kila darasa.
  5. 05Usimamizi wa matukioChapisha matukio ya shule (mahafali, siku ya wazazi, michezo) yenye tarehe, mahali, uwezo na usajili; yaweke mbele kwenye ukurasa wenu wa umma.
  6. 06Kusajili wafanyakazi na kutengeneza akaunti zaoKila mwalimu na mfanyakazi anasajiliwa mara moja; namba ya simu inakuwa jina la mtumiaji na nenosiri la kwanza ni “default”.
  7. 07Kupakia matokeo (alama) ukiwa mwalimu wa somoPakua Excel ya darasa kwa somo lako, jaza alama, uipakie kwenye mwezi au muhula sahihi. Sheria za waliokosekana, sehemu tupu na marekebisho.
  8. 08Gredi, Divisheni na PointiWeka mipaka ya alama ya kila gredi (A, B, C, D, F), sheria za divisheni (I–IV, 0) na pointi za kila gredi — kwa kila ngazi.

Hukupata jibu? Andika WhatsApp kwa msaada wa FAMNET: 0722 279 412 (ujumbe tu), piga simu 0753 464 603 (simu tu), au barua pepe [email protected].