Ruka hadi maudhui

Maelekezo ya ripoti (ujumbe unaochapishwa kwenye kila ripoti)

Andika ujumbe wa muhula — tarehe ya kufungua, kumbusho la ada, mahitaji — mara moja kwa kila ngazi; unachapishwa chini ya kila ripoti ya mwanafunzi.

Imesasishwa 06/10/2026

Results › Report instructions (walimu wa madarasa wanaona madarasa yao tu; msimamizi/academic wanaona All classes).

  1. Chagua darasa (au yote) na muhula (Term I / Term II).
  2. Andika maelekezo, mf. “Shule itafunguliwa tarehe 7 Januari 2027. Wanafunzi wote walipe ada kabla ya kuripoti. Leteni madaftari 2 kwa kila somo.”
  3. Submit. Tumia View kwenye ukurasa wa mipangilio kusoma kilichohifadhiwa.

Maandishi hayo yanachapishwa chini ya ripoti ya mwanafunzi ya darasa na muhula huo.

Hukupata jibu? Andika WhatsApp kwa msaada wa FAMNET: 0722 279 412 (ujumbe tu), piga simu 0753 464 603 (simu tu), au barua pepe [email protected].