- Home — dashibodi ya shule: jumla ya wanafunzi, wasichana/wavulana, day/boarding, kwa kila darasa; News and Updates kutoka FAMNET; tahadhari.
- Go to system (menyu ya kushoto) — kazi za kila siku zikiwa zimepangwa: Students, Results, Evaluation, Payments (O-Level / A-Level kwa sekondari), Accounting, Staffs, SMS, Timetable, Human Resource, E-Learning, Events, Teaching (silabasi na ufuatiliaji), System Contributors, Marks Completeness, Financial Summary.
- Go to Settings / Admin Settings — mipangilio tu (msimamizi wa shule). Go to system kwenye menyu hiyo inakurudisha.
Tahadhari kwenye dashibodi
- Postponed payments — wanafunzi ambao malipo yao yaliahirishwa hadi tarehe iliyofika (Payments › Postpone Payments).
- Installments alert / Priority alert — vipengele vya muundo wa ada ambavyo havijapangwa kwa mwaka huu wa masomo.
- SMS balance / Buy SMS Now — salio lako la SMS ni dogo.
- System fee warning — soma ada ya mfumo.
- Connect your phone / WhatsApp — unganisha WhatsApp ya shule kwa ujumbe wa bure.
Kila ukurasa una kitufe cha ? Help / Msaada chini kulia kinachofungua Kituo hiki cha Msaada kwenye mada ya ukurasa huo.