Ruka hadi maudhui

Mipangilio ya madarasa: aina ya shule, day/boarding, mikondo na majina ya madarasa

Eleza mfumo unafundisha ngazi zipi, wanafunzi ni wa kutwa au bweni, na mikondo (A, B, C…) ya kila darasa.

Imesasishwa 06/10/2026

Sekondari: Admin Settings › Students. Msingi/Chuo: Admin Settings › Class Settings.

  1. School Type — Sekondari: O-Level and A-Level, O-Level only au A-Level only. Msingi: Primary only au Nursery and Primary. Hii ndiyo inayoamua menyu zipi (O-Level / A-Level / Nursery) zionekane.
  2. Type of Scholars — Day only, Boarding only, au Day and Boarding. Viwango vya ada vinapangwa kwa kila aina ya mwanafunzi, hivyo chagua kwa usahihi.
  3. School Class Streams — ongeza jina la mkondo (A, B, C, East, West…) kwa kila ngazi ya darasa ukabofye Add. Darasa lenye mkondo mmoja linaweza kutumia mkondo mmoja kama “A”.
  4. Msingi/Nursery/Chuo: Create class names (Darasa la I–VII, Baby Class, Pre-unit, miaka ya Certificate/Diploma/Degree) ukabofye Submit.

Sehemu ya Results For your settings chini inaonyesha kilichohifadhiwa.

Mikondo lazima iwepo kabla ya kusajili wanafunzi — fomu ya usajili inauliza mkondo. Kubadilisha jina la mkondo baadaye hakuhamishi wanafunzi; wasiliana na msaada ukilazimika kuunganisha mikondo.

Hukupata jibu? Andika WhatsApp kwa msaada wa FAMNET: 0722 279 412 (ujumbe tu), piga simu 0753 464 603 (simu tu), au barua pepe [email protected].