- Pandisha/sajili wanafunzi kwa mwaka mpya wa masomo ukakague mikondo.
- Panga upya walimu wa madarasa na wa masomo kwa mwaka.
- Thibitisha Mode of Assessment (CA % / Exam %) na mipaka ya gredi.
- Weka viwango vya ada, awamu, vipaumbele na akaunti za benki za mwaka.
- Andika maelekezo ya ripoti ya muhula.
- Pakia mfumo wa vipindi ukatengeneze ratiba.
- Pakia silabasi ili ufuatiliaji wa mada uanze wiki ya kwanza.
- Tuma ujumbe wa Inform Parents ili kila mzazi ajue kuingia na kulipa ada kwa simu.
- Nunua salio dogo la SMS kwa namba zisizo na WhatsApp.
- Angalia Marks Completeness kila mwezi, na uchapishe matokeo kabla ya kuchapa ripoti.
Kila hatua ina mwongozo kwenye Kituo cha Msaada.