- Fungua schools.famnet.co.tz ukabofye Ingia kama mzazi.
- Jina la mtumiaji: namba ya usajili ya mwanafunzi (kwenye ripoti au risiti, mf. PS122.2026.534). Nenosiri: jina kamili la mwanafunzi kama lilivyosajiliwa.
- Fungua Results / Matokeo. Kama shule inatumia mfumo wa mchango wa wazazi utaombwa kulipa TZS 3,500 mara moja kwa mwaka kwa mobile money; matokeo yanafunguka mara tu baada ya PIN.
- Utaona pia maoni, mahudhurio, malipo na ukurasa wa Lipa Ada.
Matokeo yanaonekana tu baada ya shule kuyachapisha kwa muhula. Kama hakuna kinachoonekana, uliza shule kama muhula umechapishwa. Mwongozo kamili: sehemu ya wazazi ya Kituo cha Msaada.