Human Resource › Register Employee (msimamizi wa shule, au mtumiaji aliyepewa shughuli ya HR).
- Basic information: Select Work Title (Teacher, Accountant, Secretary, Manager, Driver…), Full Name, Gender, Mobile Number (Primary) — hii ndiyo itakuwa jina la mtumiaji — Email, Education Level, Specialization/Subjects skills, Other mobile numbers.
- Other details (si lazima, kwa mafaili ya HR na mishahara): tarehe ya kuzaliwa, dini, cheo, ngazi ya mshahara, namba ya faili, check number, namba ya TSC, tarehe za kuajiriwa/kuthibitishwa/kupandishwa cheo, makazi, hali ya ndoa.
- Submit.
Akaunti ya kuingia
Jina la mtumiaji = namba ya simu kama 0XXXXXXXXX (tarakimu 10, ikianza na 0). Nenosiri = default. Mwambie mfanyakazi aingie akalibadilishe mara moja (Human Resource › Edit my info). Nenosiri la mfanyakazi likisahaulika, msimamizi analirudisha kuwa default kupitia Human Resource › Employee List › Password restore.
Baada ya kumsajili mwalimu
- Weka Position (Head, Academic, Normal Teacher…) kupitia Staffs › Teachers List › Change Position.
- Mpangie madarasa (Staffs › Class Teachers) na masomo (Staffs › Subjects Teachers) — bila haya mwalimu anaona “No any class assigned to you” na hawezi kupakia matokeo. Soma Walimu wa madarasa na wa masomo.