Ruka hadi maudhui

Malipo yaliyoahirishwa (mzazi anaahidi kulipa baadaye)

Rekodi tarehe mzazi aliyoahidi kulipa; dashibodi inakukumbusha ikifika na mzazi anaweza kukumbushwa.

Imesasishwa 06/10/2026

Payments › Postpone Payments: chagua Student, ingiza Amount, Payment type, tarehe ya Postpone to na Mobile number → Submit.

List of postponed payments inaonyesha ahadi zote (jina, darasa, kiasi, aina, tarehe, simu). Tarehe ikifika, mwanafunzi anaonekana kwenye tahadhari ya See All Postponed Payments juu ya dashibodi. Clear/Delete mstari mara malipo yakiingizwa.

Hukupata jibu? Andika WhatsApp kwa msaada wa FAMNET: 0722 279 412 (ujumbe tu), piga simu 0753 464 603 (simu tu), au barua pepe [email protected].