- Student/Mwanafunzi — wasifu wa mtoto: majina, darasa na mkondo, namba za usajili na za kujiunga, picha, mawasiliano ya mzazi. Omba shule irekebishe kilichokosewa.
- Payments/Malipo — Student Payments Information kwa kila mwaka: kiasi kilicholipwa, na View kwa orodha ya kina na risiti (maingizo ya shule na malipo ya mtandaoni).
- News/Habari — matangazo shule iliyoweka (tarehe za kufungua, mikutano, matukio).
- Ufundishaji wa Mwanao — mada zilizofundishwa hivi karibuni kwa kila somo, pale shule inapofuatilia silabasi; itumie kumuuliza mwanao kuhusu somo la siku.
Wazazi: wasifu, historia ya malipo, habari na kilichofundishwa
Kurasa nyingine za sehemu ya wazazi na kila moja inaonyesha nini.
Imesasishwa 06/10/2026
Hukupata jibu? Andika WhatsApp kwa msaada wa FAMNET: 0722 279 412 (ujumbe tu), piga simu 0753 464 603 (simu tu), au barua pepe [email protected].