- Admin Settings › Income Settings — sajili kila chanzo cha mapato kisicho ada za wanafunzi: Kukodisha ukumbi, Kantini, Mazao ya shamba, Michango, Capitation ya serikali… → Submit.
- Admin Settings › Expenses Settings — sajili aina za matumizi na kategoria ndogo na (ukipenda) bajeti ya mwaka: Mishahara, Chakula, Umeme, Shajara, Usafiri, Matengenezo…
Kisha mhasibu anatumia Accounting › Enter Income/Revenue na Enter Expenditures; Budget Report inalinganisha kilichotumika na bajeti kwa kila robo mwaka. Soma Mapato, matumizi na taarifa za fedha.