- FILE FORMAT ERROR — the submitted file is not supported: faili si kiolezo kilichopakuliwa, imehifadhiwa kama CSV/ODS/Numbers, au mstari wa vichwa umebadilishwa. Pakua kiolezo tena, bandika data zako ndani yake, hifadhi kama .xlsx.
- UPLOAD DATA ERROR — Students with no scholar type: safu ya Scholar Type ni tupu (andika Day au Boarding). Hakuna kinachohifadhiwa hadi mistari yote iwe sahihi.
- Mistari imekataliwa kwenye kupakia matokeo: namba ya usajili imebadilishwa, mstari umeongezwa kwa mkono, au alama si namba (tumia ABS kwa aliyekosekana). Rekebisha ukapakie tena mwezi/muhula ule ule.
- Hakuna kinachotokea baada ya Upload: faili ni kubwa mno au darasa/mwezi si sahihi. Chagua darasa na mwezi ule ule uliopakua.
Usiunganishe seli, usiache mistari tupu katikati, na ubaki na sheet moja tu kwenye faili.