Admin Settings › Departments: ingiza Department code na Department Name, chagua Head of Department kutoka orodha ya wafanyakazi, ukatiki masomo yaliyo chini yake → Submit. Jedwali linaonyesha idara, mkuu na masomo; tumia Edit kubadilisha jina.
Idara hutumika kwenye orodha za walimu, ratiba na ripoti zilizopangwa kwa idara.