Ruka hadi maudhui

Kuwasiliana na msaada wa FAMNET

WhatsApp 0722 279 412, simu 0753 464 603, barua pepe [email protected]. Cha kutaja ili tatizo litatuliwe kwa ujumbe wa kwanza.

Imesasishwa 06/10/2026
  • WhatsApp (ujumbe tu): 0722 279 412 (wakati wowote).
  • Simu tu: 0753 464 603 (saa za kazi).
  • Barua pepe: [email protected]

Taja: jina la shule na namba ya usajili, mtumiaji (msimamizi / jina la mwalimu / namba ya usajili ya mwanafunzi), anwani ya ukurasa (URL) au menyu uliyokuwa nayo, ulichobofya, ujumbe halisi ulioonyeshwa, na picha ya skrini ikiwezekana. Kwa malipo ongeza transaction ID au namba ya risiti.

Hukupata jibu? Andika WhatsApp kwa msaada wa FAMNET: 0722 279 412 (ujumbe tu), piga simu 0753 464 603 (simu tu), au barua pepe [email protected].