Ruka hadi maudhui

Matokeo ya A-Level: combinations, masomo makuu na ya ziada

Matokeo ya Kidato V/VI yanavyotofautiana: masomo yanatoka kwenye combination ya mwanafunzi, pointi zinatumia kipimo cha A-Level na divisheni inatumia masomo makuu matatu bora.

Imesasishwa 06/10/2026
  • Sajili combinations (Admin Settings › A-Level Combinations) ukamuunganishe kila mwanafunzi wa Kidato V na moja wakati wa usajili.
  • Panga masomo kwa ngazi za A-Level kama kawaida; Excel ya kupakia ya darasa ina wanafunzi wanaosoma somo hilo tu.
  • Gredi na pointi zinatumia kipimo cha A-Level (A–E, S, F; pointi 1–7) kutoka Grades/Point Settings; divisheni inahesabiwa kutoka masomo makuu (principal) matatu bora, huku General Studies/ya ziada yakionyeshwa lakini hayahesabiwi (kulingana na tiki zako za Results Calculation).
  • Menyu ya A-Level ina kurasa zake za Upload, Publish, Students Results, Consolidated, Evaluate, View Evaluations, Attendance na Result SMS.

Hukupata jibu? Andika WhatsApp kwa msaada wa FAMNET: 0722 279 412 (ujumbe tu), piga simu 0753 464 603 (simu tu), au barua pepe [email protected].