1. Pakia silabasi
Teaching › Pakia Silabasi: chagua Somo, Darasa, aina, ukabandike Mada — moja kwa mstari, kwa mpangilio wa kufundishia → Hifadhi silabasi. Silabasi zilizopo zinaorodheshwa chini.
2. Walimu wanaripoti walichofundisha
Baada ya kila kipindi cha ratiba mwalimu wa somo anapokea ujumbe wa WhatsApp unaomuuliza mada aliyofundisha; anajibu kwa namba/jina (au kupitia app ya walimu). Mfumo unatiki mada na kusogeza “mada inayofuata”.
3. Dashibodi ya coverage
Teaching › Ufuatiliaji wa Mada: masomo yanayofuatiliwa, wastani wa coverage %, masomo yaliyokwama zaidi ya siku 7, na jedwali kwa kila somo/darasa lenye coverage, mada inayofuata, mara ya mwisho na hali (mistari myekundu inahitaji msaada). Toa CSV au Chapisha.
Wazazi wanaona mada alizofundishwa mwanao hivi karibuni kwenye sehemu ya wazazi, ili wamfuatilie nyumbani.