Menyu SMS. Salio lako linaonekana juu ya kila ukurasa.
- Custom SMS — andika ujumbe wowote kwa: mzazi wa mwanafunzi mmoja, ngazi nzima ya darasa, wazazi wote wa O-Level/A-Level, wafanyakazi wote, mfanyakazi mmoja, au Group uliyotengeneza (Create Groups).
- Inform Parents — ujumbe tayari unaowaeleza wazazi jinsi ya kuingia kwenye mfumo, kuona matokeo na kulipa mchango — kwa mmoja, wengi au wote.
- Result SMS — baada ya kuchapisha: tuma matokeo ya muhula (alama za kila somo, wastani, nafasi) au matokeo ya pamoja kwa darasa, au kwa mwanafunzi mmoja.
- Debt SMS — vikumbusho vya salio kwa wazazi wenye madeni (kwa darasa; kiasi kinachodaiwa kinajazwa chenyewe).
- Inform E-Learning — taarifu wazazi kuhusu vifaa/kazi za nyumbani.
- Delivery Reports — kila ujumbe na mpokeaji, njia (WhatsApp/SMS), hali na muda. Billing Reports — SMS zilizotumika kwa kipindi.
Wapokeaji wanatoka kwenye Parent's Mobile Number ya kila mwanafunzi na simu za wafanyakazi. Namba zisizo na WhatsApp zinapokea SMS (TZS 35 kila moja) — baki na salio la SMS kwa ajili yao.