- Accounting › Online Results Views — kwa kila darasa: wanafunzi ambao wazazi wao wameangalia matokeo mtandaoni, lini, na mara ngapi. Inasaidia kuona ushiriki na kuwakumbusha ambao hawajawahi kuingia.
- Home › System Contributors — kwa kila darasa: mchango wa mwaka (TZS 3,500) wa wanafunzi gani umelipwa, unasubiri au haujalipwa, na tarehe na kumbukumbu. Tuma ujumbe wa Inform Parents kwa ambao hawajalipa.
Ripoti za Online Results Views na System Contributors
Ona wazazi gani wamefungua matokeo mtandaoni na michango ya wanafunzi gani imelipwa.
Imesasishwa 06/10/2026
Hukupata jibu? Andika WhatsApp kwa msaada wa FAMNET: 0722 279 412 (ujumbe tu), piga simu 0753 464 603 (simu tu), au barua pepe [email protected].