Admin Settings › Results Calculation
- Set result production method: Average (nafasi kwa wastani wa alama — kawaida kwa msingi, Kidato I–II, nursery) au Division (nafasi kwa pointi mtindo wa NECTA — kawaida kwa Kidato IV/VI).
- Assign subjects for calculation in Average: chagua ngazi ya darasa ukatiki Include in Average kwa masomo yanayohesabika (acha mf. Dini kama haitakiwi kuathiri wastani).
- Assign subjects for calculation in Division: vivyo hivyo kwa hesabu ya divisheni/pointi.
- Submit. Mwonekano unaorodhesha kila somo na ngazi za madarasa lililopangiwa kwa wastani na kwa divisheni.
Somo lisilotikiwa hapa bado linaonekana kwenye ripoti na alama na gredi yake; halinaingia tu kwenye wastani/divisheni na nafasi.