Results › Publish Results → Term I / Term II → chagua darasa (na mwezi au mtihani wa mwisho) → Publish.
Matokeo yake:
- Walimu wa masomo hawawezi tena kupakia, kuhariri au kufuta alama za kipindi hicho.
- Wazazi wanaona matokeo kwenye sehemu ya wazazi (baada ya mchango wa mfumo, inapohusika) na kupata taarifa ya “Matokeo yapo tayari”.
- SMS / WhatsApp za matokeo zinaweza kutumwa kwa kipindi hicho.
- Ripoti ya Online Results Views inaanza kuhesabu wazazi walioangalia.
Unpublish kutoka ukurasa ule ule ili kufungua kipindi kwa marekebisho; chapisha tena baadaye.
Angalia matokeo (View Results) na Marks Completeness kabla ya kuchapisha.