Mishahara
- Human Resource › Payroll Settings (Accounting › Salary types): weka vipengele vya mshahara (msingi, posho) na aina za makato (NSSF, PAYE, mikopo, HESLB…).
- Payroll setup: mpangie kila mfanyakazi ngazi ya mshahara na makato.
- Process payroll: chagua mwezi, pitia mshahara halisi uliohesabiwa (PAYE inahesabiwa kwenye kiasi kinachotozwa kodi) ukathibitishe.
- Payroll reports: karatasi ya mishahara ya mwezi, payslip za kila mfanyakazi, muhtasari wa makato.
Mishahara iliyochakatwa inaingia kwenye Expenditures chini ya Salaries, hivyo inaonekana kwenye taarifa ya mapato na matumizi.
Mali
Register Assets / View Assets List: rekodi mali za shule (jina, kategoria, tarehe ya kununua, thamani, mahali, hali) kwa ajili ya mizania na ukaguzi.