Home › Marks Completeness (ofisi ya taaluma / msimamizi).
Kwa mwaka wa masomo uliochaguliwa ukurasa unaorodhesha kila kipindi chenye alama: Level, Class, Term, Month, Subjects entered (x / max), Students, Last entry, Status. Hali Incomplete inamaanisha kipindi hicho kina masomo machache kuliko idadi kubwa ya darasa hilo — baadhi ya walimu hawajapakia. Bofya Print upate karatasi ya kubandika chumba cha walimu.