- Muundo wa ada (Admin Settings) unaeleza kila darasa/aina ya mwanafunzi inatakiwa kulipa nini mwaka huu. Kupanga muundo wa ada
- Malipo yanaingia kwa njia mbili: mhasibu anaingiza malipo ya benki/cash (Kuingiza malipo), au mzazi analipa kutoka simuni na yanaingia yenyewe (Malipo ya ada mtandaoni).
- Kila uingizaji unatoa risiti ya shule (R{batch}-{reg}) inayoweza kuchapishwa na kutumwa kwa WhatsApp/SMS.
- Salio la kila mwanafunzi = kinachotakiwa (au kiasi kilichopunguzwa) − kilicholipwa, kwa kila aina ya ada; linaonekana kwenye wasifu, ripoti na ukurasa wa Lipa Ada wa mzazi.
- Ripoti: kwa kiasi, aina, orodha, tarehe, benki, ya jumla, risiti, malipo yaliyohaririwa; malipo yaliyoahirishwa; SMS za madeni. Ripoti za malipo
- Uhasibu unaongeza mapato mengine, matumizi, bajeti, trial balance, mizania na taarifa ya mapato na matumizi. Mapato na matumizi
Ada zinavyofanya kazi kwenye FAMNET (muhtasari)
Muundo wa ada → malipo yanayoingizwa na mhasibu au kulipwa mtandaoni na wazazi → risiti, salio, ripoti, ujumbe wa madeni.
Imesasishwa 06/10/2026
Hukupata jibu? Andika WhatsApp kwa msaada wa FAMNET: 0722 279 412 (ujumbe tu), piga simu 0753 464 603 (simu tu), au barua pepe [email protected].