Ruka hadi maudhui

E-learning: vifaa, kazi na mitihani ya mtandaoni

Walimu wanapakia notisi kwa kila somo/darasa, wanaweka kazi na majaribio yenye maswali yanayosahihishwa yenyewe, na wanafunzi wanayafanya mtandaoni.

Imesasishwa 06/10/2026

E-Learning (Materials / Assignments/Tests / Online Examinations).

  • Materials — kwa kila somo na ngazi ya darasa, pakia notisi, mitihani iliyopita, PDF au video; wanafunzi na wazazi wanazipakua kutoka kwenye mfumo. Futa faili zilizopitwa kutoka orodha ile ile.
  • Assignments/Tests — tengeneza kazi ya somo/darasa yenye maelekezo na maswali (ya kuchagua au ya wazi); sahihisha majibu ya kila mwanafunzi (Mark assignment) na alama zinaweza kuingia kwenye CA.
  • Online Examinations — Create Internal Exam (ngazi ya darasa, jina), kisha weka masomo na maswali (au pakia maswali kutoka kiolezo), hakiki, ukaufungue kwa wanafunzi. Maswali ya kuchagua yanasahihishwa yenyewe; Mark Exam inashughulikia mengine. Mitihani ya nje inaorodheshwa tofauti.

Tumia SMS › Inform E-Learning kuwaambia wazazi vifaa au majaribio mapya yamewekwa.

Hukupata jibu? Andika WhatsApp kwa msaada wa FAMNET: 0722 279 412 (ujumbe tu), piga simu 0753 464 603 (simu tu), au barua pepe [email protected].