- Dismiss — kwenye wasifu wa mwanafunzi chagua Dismiss ukatoe sababu (amehama, ameacha shule, nidhamu…). Mwanafunzi anatoweka kwenye orodha za darasa, matokeo na madeni, ila rekodi inabaki.
- Students › Dismissed Students — orodha (jina, jinsia, darasa alilofukuzwa, aina, simu, sababu) yenye Restore (mwanafunzi anarudi darasani) na Delete (ya kudumu — kwa usajili wa makosa tu; matokeo na malipo ya mwanafunzi halisi hayapaswi kufutwa kamwe).
- Students › Graduates — wanafunzi waliomaliza darasa la mwisho (Kidato IV / VI, Darasa la VII) wanahamishiwa kwa wahitimu wakati wa kubadili mwaka; tafuta kwa mwaka ili kuchapisha orodha au kuchapisha upya ripoti za zamani.
Kufukuza, kurejesha, kufuta na wahitimu
Ondoa mwanafunzi aliyeondoka (kwa sababu), umrudishe akirudi, futa kabisa makosa ya usajili, na uone orodha za wahitimu kwa mwaka.
Imesasishwa 06/10/2026
Hukupata jibu? Andika WhatsApp kwa msaada wa FAMNET: 0722 279 412 (ujumbe tu), piga simu 0753 464 603 (simu tu), au barua pepe [email protected].