Evaluation › Student attendance (walimu wa madarasa wanaona My Assigned Classes).
- Daily attendance — fungua kadi ya darasa ya leo, tiki aliyepo/asiyekuwepo (na maoni kama yanahitajika) → Save. Inaweza pia kufanywa kutoka app ya walimu.
- Monthly attendance — ingiza siku alizohudhuria / alizokosa kwa kila mwanafunzi kwa mwezi (kwa shule zinazotumia rejista ya karatasi na kuingiza jumla).
- Quick reports — Daily Attendance Report (madarasa yote kwa tarehe, na waliokosekana) na ripoti ya mwezi kwa darasa/ngazi yenye asilimia.
- Send attendance — tuma orodha ya waliokosekana leo kwa wazazi kwa WhatsApp/SMS (Send attendance / Send attendance comment / muhtasari wa mwezi).
Jumla ya mahudhurio inachapishwa kwenye ripoti ya mwanafunzi (siku alizohudhuria / jumla ya siku) kwa muhula.